SITTING PRESIDENTS WITH THE MOST HONORARY DOCTORATE DEGREES:
1. ๐น๐ฟ Samia Suluhu Hassan - 8
2. ๐บ๐ฌ Yoweri Museveni - 7
3. ๐ท๐บ Vladimir Putin - 7
4. ๐ท๐ผ Paul Kagame - 6
5. ๐จ๐ณ Xi Jinping - 3
6. ๐ฐ๐ต Kim Jong Un - 1
Source: Public Open Source June, 2026
Ukiwa unazurura zurura kwenye Mitandao katika kipindi cha Mwanzoni mwa mwezi May,
Utakuwa unakutana na Cellebrites wakubwa Duniani, wakiwa wamevaa mavazi utazani wanatoka kwenye Mtoko fulani wa harusi au date.
Sasa hiyo ndio MetGala.
Lakini Met Gala ni nini hasa? Nani huhudhuria? Kwa nini ni tukio kubwa kiasi hicho? Na huu โmuundoโ wa mavazi unahusiana na nini?
Leo nitakuelezea yoote usiyoyajua kuhusu MetGala.
Na wakakati nakuelezea nitakuwekea Picha za watu maarufu walivyovaa kwenye MetGala ya Mwaka huu 2025.
Iliyofanyika Jana tarehe 5, May.
Shuka na Uzi.
SUNDAY... AFYA TIPS SHARE FOR EACH OTHER....๐ฉบ
Maziwa ๐ฅโ Hamu ya Tendo la ndoa, (Libido)
Strobel ๐ โ Mmengโenyo wa chakula (bowel health)
Apple ๐ โ Kupunguza uzito (weight loss)
Almonds & Karanga ๐ฅ โ Testosterone.
Vitunguu saumu ๐ง โ Sumu mwilini (Detox)
Maji๐ฆ โ Kwa Ajili ya Figo!
Mayai ๐ฅโ Kwa Ajili ya Ubongo ๐ง !
Carrots๐ฅ โ Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi ๐โ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage ๐ฅฌ โ Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Afya ya Moyo ๐ซ!
Mazoezi exercise๐๏ธ โ Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani ๐ฅฆ๐ซ โ Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika maisha yako ya baadaye. Join us Link kwenye bio.
THANKS TO BE WITH ME THIS WEEKEND..๐ช
Chemical sasa rasmi ni Daktari.
Si Dakitari wa binadamu bali Daktari wa Sayansi!
Tanzania inazidi kuandika historia kupitia vipaji vya kipekee โ kutoka kwenye freestyle hadi kwenye PhD.
Dr. Claudia Lubao aka Dr. Chemical โ salute!
Thread:๐
@kinlop_ Mbona Marekani inakubali kuwa Vietnam walishinda vita na nchi yote ikawa ya kiCommunist mwaka 1975. Ndio maana hadi leo hakuna vita iliyowaua na kuwaumiza vichwa wamarekani kama vita ya Vietnam.