๐ฐ๐ช | Samburu County, Kenya inapatikana jamii ya Wasamburu waishio kaskazini mwa nchi hiyo.
Makao makuu ya eneo hilo ni Maralal.
Utamaduni wa kipekee kutoka kwa Wasamburu huadhimisha sherehe ya kimila iitwayo Lmuget (Age-set) kila baada ya miaka 7.
Ni sherehe ya mpito kutoka hatua moja ya maisha kwenda nyingine katika kundi la vijana. Ndani ya sherehe hiyo kuna mfumo wa hatua za maisha wa Wasamburu ujulikanao kama Lmuget le Nkarna.
Ikiwa na maana ya kundi la vijana (Moran/warriors graduation) kutambulishwa rasmi kama kundi la Moran lenye hadhi na jukumu jipya katika jamii.
NB: Wanafanya kile ambacho wazee wenu hawakufanya๐