Picture this.
Una umri wa miaka 25 tu.
Such a great talent in the continent.
Unaishi kwenye apartment nzuri pale Cape Town, mji ambao mamilioni ya watalii huota kuutembelea.
Thread: ๐งต
@George_Ambangil Tulikua tunaaminishwa Brazil hata muuza machungwa anaubonda kinomanoma lakini kwenye uhalisia Jamaa wanastruggle hata kupata National Team bora, Ogopa sana PR๐