Tushawahi Ambiwa Tusubiri Na Tukasubiri Maana Mtoa Kauli Alionesha Matumaini..
Lakini Mwisho Wa Siku Ukimya Ulimaanisha Si Kila Ahadi Lazima Itimizwe
Wakati mwingine Ukimya wenyewe huwa ni Jibu.
Usilazimishe Majibu mahali ambapo Matendo tayari yameshazungumza.