π¨π₯ BIASHARA NDOGO NDOGO KUMI (10) ZINAZOWEZA KUKUEPUSHA NA UMASKINI MWAKA 2025 π₯π¨
Uzi mfupi......βπΏπ§΅
Kuna biashara nyingi ndogo ambazo unaweza kuanza kwa mtaji mdogo lakini, kwa mipango mizuri na juhudi, zinaweza kukupeleka kwenye mafanikio makubwa.
Hapa kuna mawazo ya biashara ndogo unazoweza kuzingatia,kisha zikakuletea faida kubwa sana...;
1. Uuzaji wa Vyakula na Vitafunwa
β’ Aina ya biashara: Kuandaa na kuuza vyakula kama chapati, maandazi, samaki wa kukaanga, au juisi.
β’ Mtaji wa kuanzia: TZS 50,000 - 200,000.
β’ Faida: Watu hulazimika kula kila siku, hivyo soko lake ni endelevu.
β’ Mfano: Kuuza chakula cha mchana kwa wafanyakazi au vitafunwa kwa watoto shuleni.
Follow ππΏ @mchache_tz