@EsirEid Tajiri siku nimesema hapa kwamba Mshindi kati ya Arsenal na PSG kwa ile nusu fainali ndo bingwa watu wakapinga ila wew ulikubaliana namimi
Waje wale wote walokuwa wanapinga na kuisifia Barca ya Yamal waseme tena leo
@EsirEid Kiujumla Barcelona na Inter milan hamna timu ya kumshinda Arsenal au PSG,
Nmeangalia mechi ni kama walikutana wote vilaza wakawa wanachezeana..
@Sativa255 This dude ni bright sanaa,
Me huwa namkubali tangu kitambo,
Changamoto ni kwamba watu wenye maono na akili wakiongea wanaonekana wasaliti, wenye kusifia ndio hupendwa
Maoni mazuri nje ya mfumo
@Mr_Hatrick3 @Sativa255 Amemaliza form 4 2011,
Chuo kaanza 2014,
Almost miaka 3 yote huwezi juwa labda alirudia masomo alofeli akapata credit kwa hyo mika kaka