Viongozi wajaribu kutafakari kwa uchache maumivu anayo pata Mwana simba @SimbaSCTanzania msipo badilika hii timu inaendaa kufaaa kabisa maana hatujuii tunahutaji nini kwa wakati ganii
@Dominicksalamb1 Kaka sometimes huwa nahisi sijui watu wamehack accounts yako kwa vile unavyo viandika coz nakuheshimu sana kama mchambuzi na mwana habari za michezo nchini ila sometimes π’unaandika vitu mtu kama wewe mwenye profile kubwa hutarajii kabasi
@prosperbartha Xavi naona alikuwa anacheza sana mpira wa pasii nyingi lakini ikija kwa flick naona yuko direct sana na ndo maana siraha zake kubwa zipo mbele namba 11 na 19 yaaan gusa achia twende kwao
@Sativa255 Shida ipo moja hajui kutafsiri sheria na vifungu vya kanunu vinavyo hisiana na mpira maana hana ubobezi kwenye maswala ya michezo huyo nimwanasheria wa maswala ya nnje na michochote na yeye hataki kukubali hiloo