Hii hela ya hizi two weeks shout out ziende sana kwa @amina_hafidh bila wewe ningekuwa below average earnings msichana😂
Suala ni lile lile usiache kunichamba usiache kunijibu maana account yako ni kubwa so a single reply boom tweet inatembea
Na usiniblock maana nkiquotigi tweets zako pia tweet zinatembea, ayeeee tulikubaliana vita na faida buana🤣👋🤸♂️🤌
TOLD YOU I BENEFIT EITHER WAY, USIPONIJIBU UNANIOGOPA UKINIJIBU NAPATA ENGAGEMENT (miongoni mwa faida za elimu ni kujua kureason)😂🫵
@EsirEid Ukiwa kiongozi wa dini ukahama na interest zako binafsi ukazipeleka katika mambo ya dunia utazingua na utapigwa mawe tu kwasababu utakosea tu
Ndo maana safari hii umeona sunnih wengi hawaja taka mbanga zozote wapo kama wame jizima data kwasababu wanajua msingi ni upi.
@EsirEid Uko sahihi kabisa
Lakin changamoto moja kubwa ni pale unapo toka katika msingi mkuu wa dini
Haya yote ni mazao kwamba masheikh na waumin wote hawapo kwenye msingi
Kila mtu akikaa kwenye msingi wake kila kitu kitakaa Sawa haswa haswa viongozi kwasababu wao ndo wenye dhima zaidi
@rollymsouth Kuna tension & expectations ambazo sehemu kubwa zina athiri uono wa vijana katika serekali na
Hakuna mtiririko mzuri unao onyesha future ya vijana ina pelekwa wapi .coz vijana tunategemea changes kutoka kwa serekali directly sasa sijui kuna mabadiliko kwa vijana toward 20 -30
@lifeofmshaba Kwani hospital hazina vitengo vya magonjwa ya kuambukiza na hatarishi??
Kwanini ika cover bajeti wakati vitengo hivo vipo kikubwa ni viongezewe uangalizi ili ku improve efficiency na sio ku cover bajeti za watu...
@HKigwangalla Mheshimiwa @HKigwangalla kama ulivosema most ya wapiga kura ni Gen z ndani ya chadema
Je! Ni uhakika hata kundi la wapiga kura mtaani sio Gen z?
Na kama ni Gen z wao sio waumin wa mabadiliko?
Kama pia ni Gen z wao watakubali kuendelea na uhafidhina na kupuuza uropokaji wa tal