Na nyie Chelsea sio kuchekacheka kama wasimbe humu then game yenu na Arsenal mnapasuka hatutawaelewa aisee kama tatu zikiwashinda hakikisheni mnapata ata moja ๐๐
Huyu Lisandro Martinez tulivosema ni mfundi zaidi ya Rice kwenye passing kuna watu walijua tunatania ๐
Kwenye ile turn mchele angepiga shuti ule mpira kama ulivokuja ๐
Cole Palmer anahitaji misimu miwili kufikia level ya Bruno Fernandes kwenye PL na msimu mmoja zaidi kufikia level ya KDB, inshort anahitaji misimu mitatu kuanza kuingia kwenye conversation za one of the best midfielder & player kwenye PL history.