Moja ya biashara underrated sana ni biashara ya Ng'ombe, lakini ni biashara yenye faida kubwa sana.
Sio biashara ya ufugaji, ila Kutoa Ng'ombe mkoani na Kuja kuuza Mnadani 🙌. Ng'ombe mmoja anaweza kukupa mpaka faida ya 900K
Mteja @Excess300 Asante kwa kuagiza bidhaa ,
Kama kuna mteja mwingine anahitaji kama hizi anicheki DM
Meli siku 45 ,ndege siku 7
Asante Boss karibu tena
0745221288
Kumbe wakamaria wao hawanaga hasara, wao wanapewa promocode ya kupush na ukijiunga kupitia promo code yao unavyoliwa na muhindi wao wanalipwa na wao hawaweki mkeka wanatumia Demo account kuweka mikeka wewe unaona wame stake high kumbe hawajaweka hata 100/= na wewe ulivyo🤣👇