@eastafricatv Daah, nimejitahidi sana kuacha pombe maana nimeanza kunywa tangia nikiwa na miaka 8 nilikua napiga kitu cha mbege kisiri siri, nimejitahidi kuacha nimeshindwa kabisa yan hasa kiwingu na jobo vodka
Imechukua muda kujua kwamba Twitter wamebadili Retweet button colour from Blue to Green, kuonyesha kuwa wanaunga mkono kinachoendelea nchini Nigeria 🇳🇬 #June12thProtest