HIVI NDIVYO CHOMBO KIMEGAWANYIKA LIVE.
Kikosi cha chombo cha anga cha Orion spacecraft na sehemu yake ya huduma (service module) vimetengana.
Kapsuli ya wanaanga inaendelea na safari yake kurudi duniani, huku sehemu ya huduma ikitarajiwa kuungua kwa usalama katika angahewa ya Dunia juu ya Bahari ya Pasifiki.
System' ya Artemis II imebuniwa kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kwamba mabaki yoyote yanayoweza kubaki hayawezi kusababisha hatari kwa ardhi, watu, au njia za usafiri wa majini.
@MahamudHas27562@ze_mandevu Kishindo hakikuwa kikubwa kwa sababu chombo kilifungua parachute kupunguza speed ya chombo mpaka kutua kwenye maji na pia walikuwa wapo kwenye viti wamekaa na kujifunga belt
@ReganiMmary@ze_mandevu Kushuka ni fee fall(gravity inakuvuta chini) ila kupanda unaitaji rocket booster ili kuikimbia force inayokuvuta chini upande juu
Jamaa aliuliza "Hivi zile meli zinazoleta magari kutoka Japan na bidhaa kutoka China zikishusha tayari huwa zinarudi na bidhaa gani kwenda huko..?
Angalia majibu yake, jifunze kitu hapa ๐๐ฟ