JIFUNZE Jinsi ya kutumia options za Gears Kwenye Gari Automatic.
.
Gari za AT zimekua rahisi sana kuendesha, watu wasiopenda manual wametokea kuzipenda sana na wanazifurahia.
.
Mtu akishapata Leseni tu Utasikia wanakwambia We ingia ukishaweka D ndo ushamaliza Dar Moro hii hapa.