Zinatakiwa gari (Trucks) za kutosha za kubeba Coal kutoka SONGEA kwenda ATHI RIVER, KENYA
Malipo ni TSHS 230,000/= kwa TANI
ADVANCE 70%
BALANCE 30% UKISHUSHA TU ATHI RIVER.
☎️+255683218543
Hela ya ofisi utaweka #Ubaoni 100,000/= kwa kila gari.
Gari zinazotakiwa ni 40
Tumaini Simbeye mkazi wa Masewe kata ya Ilemi, Mbeya anaomba msaada wa Wheelchair ya mtoto wake Clara Mabena ili aweze kupelekwa shule kwa urahisi.
Watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja mtoto apate wheelchair kupitia Namba ya simu 0754917198 Tumaini Simbeye (Mama wa mtoto).
Nimetoka BoT. Kwa wote mlio na malalamiko kuhusu miamala ya simu tumeni barua pepe:
[email protected]
BoT wakotayari kutusaidia lakini na sisi tuwe tayari kutoa malalamiko.
Kulalamika ni HAKI yetu na tunalalamika kwa MANUFAA yetu sote.
Tusiogope wala tusiwewavivu.
Naomba #repost yako
➡️Gari: BMW X5
➡️Gharama za kufunga mfumo wa gesi: Tsh 2.6M
➡️Mtungi: Kg 17
➡️kujaza: Tsh 27000
➡️Umbali kutembea: Km 150+
➡️Warrant: Miezi 6
Location📍: Ubungo riverside
#Usipaki_gari
Karibu sana tukufungue mfumo wa gesi kwenye chombo chako
Tel 0687627393
Habari
Nahitaji mtu aliyesoma Procurement (Diploma or Bachelor) awe ni wa Dodoma. Akiwa na experience kwenye masuala ya Depot/Stock keeping/warehouse itafaa sana. Atume cv via 0672389551