Kipaombele kwasasa ni kujenga ofisi ya mkuu wa mkoa (10B).
Hili ni soko la NGUCHIRO ambao kodi wanazokusanya kutoka hapa ndio zinaenda kujenga OFISI ya chalamila.
Ndiomaana wanatuuwa na wanatuita NGUCHIRO na hawajali kitu kuhusu sisi.
Mungu anaipenda sana CHADEMA. Huyu chalii kachomoka? Honestly, si loss. Alikuwa full liability, yeye kuwa CHADEMA ilikuwa risk zaidi, kama meli za mafuta kupita Strait of Hormuz. Mara tatu nilishataka kumfukuza nikiwa Mkti wa Kanda ya Kaskazini, lakini waliomhitaji wakam-hold. Sasa hivi? POA. He is nothing, buddy.
@YoungAfricansSC Wachezaji wacheze kama team waonane uwanjani ubinafsi wa baadhi unaicost team mwenye nafasi nzuri apewe boli atikse nyavu...alichopewa pacome dhidi ya CR BELOUZDAD apewe tena.