@YerickoNyerere_ @diamondplatnumz Dimond hana mtoto aliye mzaa ndani ya ndoa hivyo huna sababu ya kumpongeza mana huyo ni sawa na wale aliozaa na zari akuna tofauti
@YerickoNyerere_ @ShindoKilawa Yeriko nyerere mbona unauza ghari sana kitabu chako?wengine tunatamani tupate nakala lakini bei unayo uza inatuwekea ukuta