@JMakamba kama Mtu anayetaka kuwaongoza watu anapewa fomu na anakaa nayo zaidi ya siku kumi bila kuikamilisha, tunawezaje kumuamini kumpa ridhaa ya kutusimamia mambo muhimu ya kitaifa?
@LusakoWaKwanza Vita ya wakaburu na wangoni, sasa Kiusalama ni vipi? Yaani kutoka Morogoro kwenda Mbeya? Huko si ndio kwenye vita ilipokuwepo? Hapo kidogo tuwekeni sawa