One season David was a shepherd, next he was a king. One season Mordecai was a gateman, next he was a Prime Minister. One season Esther was an orphaned girl living with a relative, next she was a queen.We serve a God who turns things around. 💭
@droid254 Tanzania is actually a cool place to live those folks just mind their life and they look at Kenya as a developed nation only few educated ones like to argue
🙂there are many reasons to die for
Hata keki but dying for tanzanians is absolutely not worth it💔i feel so guilty each time I remember about the killings.
The average Tanzanian has the memory of a dementia patient,very inconsiderate and doesn’t think beyond gossip.
Na kwenye ili dunia ukiwa kwenye lile kundi la kuandikiwa “raha utapata mbinguni” hakuna rangi utaacha kuona walahi..
Imagine unaweza kubana mpk hela ya kula lakini hamna kitu unaingiza
Nahii yakubania pesa hamna kitu husaidia maana zikija kutoka zinatoka double yauliyo bana..😤
Zero tariffs ya China to Africa especially developing countries nikama mzee mwenye nyumba aone umevuna mahind unajipikia ugali akuambie no my child… we niuzie hayo mahind alafu mimi nitapika chakula nitakuuzia kwa bei nafuu, usipoteze mda wako then wew ukapiga makofi.
Leo nimejifunza boredom ndo growth inapotokea either maishani,biashara na hata relationships..The mind haipendi stillness ndo maana always inakuja na ideas ilimradi kuiweka busy au occupied without focusing on the Now moment..