Dear wafalme,
Kumbuka haya;
1. Kuwa na malengo yako binafsi
2. Vaa Nguo zinazokutosha
3. Fanya mazoezi siku 3-5 za wiki
4. Usichore tattoo jina la Mwanamke
5. Kuwa na nidhamu na kazi yako
6. Ishi masculinity haswa
7. Epuka kubishana & kulilia wanawake
8. Jiheshimu
Mwisho.
#TajiriLaKihaya
Humu ndani huwezi ukaanzisha VITA na RAHMA ukashinda…
Hatuwezi tukakubali… hatuwezi tukakuSupport kwa namna yoyote ile!
Wapwa tutamlimda rahma Ma ASSIST kwa wivu mkubwa saana!
Tukiwaambia Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia huku kiingereza kikifundishwa kikamilifu kama lugha ya ziada mnakataa😂😂😂!!
Hapo amejibu kwa kibantu, angejibu kiingereza ingekuwaje???🤔🤔🤔
Kama Mungu yupo, basi atuepushe na hii aibu ya taifa!!🙏🏿🙏🏿
Kama ana biashara we muungishe tu afu muombe delivery either alete ofisini kwako au fata parcel na ndinga hatakama sio kali hawayajuagi magari hawa😂
Au akufanyie delivery kwako kwenye apartment kali usimkaribishe ndani wala nini we mpe tu nauli ya kurudia
NAKUHAKIKISHIA UTAPOKEA TEXT UKIITWA BABAA KUJIFANYA UNAULIZWA FEEDBACK YA BIDHAA SIKU SI NYINGI😭
When you are tired, eat SALT.
When you experience a headache, eat SALT.
When you are angry, eat SALT.
When you are hungry, eat SALT.
When FASTING, eat SALT.
When your libido drops, eat SALT.
SALT is life.
#FoodFriday