Huwezi kumkamata mtu aliyeshika PANGA njiani, na kumtuhumu anataka KUUA watu! Anaweza akawa njiani kuelekea porini KUKATA MITI. Matumizi ya "kitu" na "dhamira" ya mtu, haviwezi "kudhaniwa" au "kutafsiriwa" kirahisi namna hii. Mungu pekee ndiye mwenye UWEZO wa kufanya hivyo.