@swahilitimes Ajira na mazingira sahihi kwa vijana kujiajiri zimewashinda mnataka kupokonya na sehemu ambayo vijana wameona wawekeze akili zao huko? Wakuu mnajua vijana wangapi wanaendesha maisha kwa betting na kodi zao mnachukua?
@Jambotv_ Hivi Kwani ili uwe ccm ni lazima uwe huna akili au muongo? Amani ipi inayotunzwa na ccm? Hiyo miundombinu anayodai mbogamboga wametengeneza pesa wanatoa mifukoni mwao au ni kodi zetu na rasilimali zetu wenyewe na wafadhiri? Huyu boya ana akili ndogo sana