FAHAMU KUHUSU E- SIM CARD.
Kadri kunapo kucha tunaendelea kushuhudia maendeleo mbalimbali yanayopigwa katika wanda za kiteknolojia. Kwasasa simu janja nyingi nizile zenye kutumia betri za ndani kwa ndani ,ambazo wengi tumeshuhudia,yumkini baadae tuta acha hata kuona betri......
@masoudkipanya@Kipanytv kuendelea kupitia muundaji musudi kipanya ,najiuliza kama yeye angekata tamaa na kusema magari ya umeme yapo,na haoni kama atauza basi ange ghairi project kitambo
@masoudkipanya@Kipanytv Hii inakuaje?, ukiwa unakaribia katika ya kufanya jambo, ari ,na msukumo ulio kuwa mwanzo hupungua na kuanza kukata tamaa, nakuona huenda hii project ikawa haina tija , mfano nilkuwa naunda taa za kuchaji ,na nilikuwa na kudisha na kupata hela,mwanzo nilikuwa natumia vikombe
@masoudkipanya@Kipanytv ,kwa sasa nikataka ku upgrade na nitumie housing bora za hadhi ya kiwanda ,nikaanda andaa 3d design za taa yangu hiyo mpya na nime print na 3d model tayari ambayo mpaka sasa ime cost 350k, lakin nahis kukata tamaa na kuona haitakuwa na tija sana, hata hivyo napata moyo wa
@Sirajitz1 Mi Kama fundi wa repair,tv zote ziko vzr,shda ni matumiz Yako, faida ya tv za kichina ni uwepes wa kufanya repair ,LG Sony, Samsung zikizingua unpack bench
@masoudkipanya Ahsante sna bro for your reply,sikutegemea ungenijib mapema,thanks nimpepata mwanga,though jamaa wa insta niliye mcheki anayo epoxy resin ,Kama uliyotumia , project angu inanitaka nitumie polyurethane resin,so naendelea kutafuta, I will give fb once I finalized the project
@siadevinci Nmemuuliza grok kasema,itakuwa ni kujiangamiza mwenyewe , Israel iko mbali na Iran,hivyo logistics challenge ni kubwa ,ukizingatia kazungukwa na wapambe wa us na Israel hivyo ni kazi kusafirisha majeshi to fauti na urusi
Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost 🤞
Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike
Repost 🙌
@Lukala_Ngesse Gwajima Hawa muezi kwa hoja na kwa kelele,hata waje chawa wote na mama Yao ,hawamuezi, walishindwa wakatoliki na pengo wao seize chawa😂😂😂
@kapeto98 Private kwa kisenge, Kuna shule hapa mkifunga shule mwezi wa sita au 12 hamlipwi,sasa nashangaa je mtu ndan ya mwezi mmoja anajpangaje halafu hapo unamkataba, government mshahara through out the year