@georgediano This is very sad in deed. Wishing Capt. Ruto quick recovery together with his family members. May his daughter's soul rest in eternal peace.
Poleni sana wana Kilwa kusini kwa msiba huu mkubwa
Mungu awafanyie wepesi
Tutamkumbuka kwa uwazi wake bila kujari hali wala mahala alipo
Ukweli ni kwamba hatumdai aliisemea kilwa kusini na Tanzania kwa ujumla
Poleni sana