@officialshakuu Vijana wameharibika sana nyakati hizi mtu anajisikia fahari kumlegeza Binti wa watu sehemu ya makalio kweli? Kizazi cha laana kabisa hiki!!
@Maestrowafact Kwa Sasa kuna mgawanyiko mkubwa sana baina ya Watawala na watawaliwa lakini haya yote yanatokea sababu ya dharau na kejeli walizonazo Viongozi kwa wanainchi wanaowaongoza Hali inayopelekea chuki kujengeka baina Yao na kusipofanyika juhudi za makusudi Hali itakuwa mbaya sana
@massuidentity Kwa majibu mengi yaliyojibiwa humu inaonyesha watu wengi hawajui vitu na hawajishughilishi kuvijua ndiyo maana wanatoa majibu ya hovyo si kwa kupenda balj kutokujua na hawataki kujifunza,ujuaji mwingi!!
@Therealngassa Sehemu yoyote huwezi kosa fursa ya kufanya ni wewe na akili yako mgando ambayo huwezi kifikiri na kuwaza ni fursa Gani hapo inaweza kukusaidia kuingiza fedha mpaka uambiwe!! Ndugu choma mkaa
@Tweener003 Mjitahidi angalau mpate mafunzo kdg ya taratibu za Ibadan za Kiislamu upotoshaji uko mwingi mno na mwingine unafanyika kwa makusudi kabisa kwa sababu ya chuki za watu walizokuwa nazo haifai hata kdg tujifunze hata kama si Dini yako pata basics zao ili uweze kuishi vzr na hao watu
@fumbokhanJr Acha mizaha na ujinga kwenye jambo usilolijua,wakati wa Ramadhani mswaki unapiga vzr tu tena na toothpaste sema hutakiwi kumeza baada ya kusukutua na wote tunajua hakuna anaemeza toothpaste akiwa anapiga mswaki,acha unafiki!!
@MaxTz255_ Ni kumuombea Mungu amjaalie afya njema ni maradhi ya Kisukari yanamsumbua kiasi yamemsababishia Figo zake zisifanye kazi vzr Hali ambayo imempelekea kuwa hivyo, hayo ni mapito ya Kila mtu.
Nwenyezi Mungu akikujaalia afya njema mshukuru sana
@RickyJaduong86 Mbele ya Nwenyezi Mungu dhambi ya Uzinzi inabaki pale pale hakuna amani hapo ya kuzaa watoto nje ya ndoa kwenye miliki ya Mungu uzao huo hautambuliki
@MkulimaKante Wakati anapiga hizo mishe za mpunga Ifakara ndani ndani wewe kama Mume uko wapi? Na anashiriki vipi kwenye majukumu yake kama Mke? Matatizo mengi ya kifamilia na Kindoa yanaanza pindi majukumu ya Kila mtu yanapobadirishwa bila utaratibu jifunze sana