Watu wa twitter
Hawaskilizi radio
Hawaangalii Tv
Hawapandi daladala
Hawana wapenzi ila hawapo singo
Hawatumiii Facebook na TikTok
Wote wana hela
Wote wanaishi Dar
Humu ni kuishi kimkakati ๐
Mama kaingia chumbani kwangu si nikajifanya nimelala...kasimama pale pale akasema,
" Weee last seen yako whatsapp ni dakika moja iliopita, amka ukasage Mahindi""๐ ๐ซต๐พ