Waajiri Vs Wabunifu: Kwanini wabunifu (creatives) hawakai muda mrefu kwenye maofisi? 🎨🚩
Kila ofisi inatamani kuwa na timu ya ubunifu (designers, videographers, content creators).
Lakini pindi wakishapata, changamoto huanza:
👉 Kazi za muda usio na kikomo
👉 Maslahi hafifu
👉 Expectations tembo, muda kiduchu
👉 Toxic bosses hapa ndio usiseme 🤮
Utokea nini?
Wabunifu wengi wanachagua kuwa “lone survivors.”
Freelance. Kujisimamia. Kuepuka toxic environments.
Kuna ofisi nimeziona si kila baada ya miezi mi 3 wanarusha poster mpya, unakaa unajiuliza... kila mtu aendaye pale ni mbaya kiasi hicho?? au standard ni kubwa?? je standard hiyo ina match na incentives??
Audio kusema
"Kuondoa kibanzi kilicho jichoni kwa mwenzio... Toa kwanza BORITI iliyoko jichoni mwako"
Ukiona bado mna mtu wa creative (𝗠𝗭𝗨𝗥𝗜) kazini kwenu hadi leo, jua kuna vitu kadhaa mpo mnavifanya vizuri ✅
Watu wa rasilimali watu mtoe elimu na ushauri kwa hawa mabosi kuelewa dynamics za creative minds.
La, hii vita haita kaa ije kuisha
HELA INAVUTWA NA HELA... Mimi na mke wangu tulikaa kwa wish yake akaamua kunisapoti hela ya premium
Sikua na mpango maana nilikua bize bize..
Akatoa 160k yake, Tukalipia premium ya linkedin
160k ikaleta wateja wawili wa kibongo... na wateja wawili wa mbele utosini mwa dunia
total revenue ni zaidi ya $500
Na zaidi client tumetoka linkedin tuko whatsapp, and for a long-term partnership.
Mimi sitasema tena hili ili uendelee kuleta exchuzes kama kawaida yako