@MVaslisa I think medical training is difficult in general. Yani ukiona unateleza tu chuo.. having “fun”… ujue intern lazima utalia. Tunakiona sana from interns waliosoma nje ya tanzania.. hawajui kitu.. yani intern from China ni level ya MD 2/3 wa Tanzania.
MD wa kike waliomaliza 2024 wao wameona isiwe kesi kukuza vimbe wanaolewa kipindi hiki safi kabisa.
Wewe ambaye huna hela usioe kwanza. NAJUA HAMPENDI UKWELI NYIE😂