@ReganTesha_ Wanaojiita wasomi wanaamini sana katika nadharia kuliko uhalisia wa maisha.
Na sifa za kutapeliwa ni mbili tu,Uwe na tamaa,pili uwe na chakutapeliwa.
@ReganTesha_ Nilijiuliza hilo swali nilipotata jibu nikakimbia mshahara nikaamua kujiajiri mwenye kwenye kujiajiri kuna changamoto nyingi sana lazima uwe na uvumilivu usiishi nje ya bajeti yako,kanuni kuu pesa ikiingia isitoke bila sababu na ikitoka lazima ije na wenzake.