UNAJUA ILE HISIA WAKATI MTU ANAKUDHARAU.
Hivi ndivyo unavyopaswa kumjibu!
Mnamo 2009, Wesley Sneijder alienda kwenye mazoezi kama kawaida. Alipoingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo, kabati lake lilikuwa tupu, na vitu vyake vyote vilikuwa kando. Kisha akaenda kwa rais Pérez, ambaye alimwambia, Sina muda wa kuzungumza na wewe, lakini umeondolewa Madrid.
Tunataka kushinda UCL. Sneijder akajibu, naahidi nitashinda taji hili kabla ya galácticos yako kufanya hivyo. Kisha mtu alimwambia Mourinho kuhusu Sneijder, na akamsaini haraka. Alipofika, Mourinho alimwambia, wewe ndiye kiungo bora zaidi, nimekusaini ili tushinde UCL na mataji mengine.
Katika msimu uliofuata, Sneijder alishinda Serie A, Coppa Italia, na alitajwa kuwa kiungo bora zaidi barani Ulaya, akimaliza wa 4 kwenye Ballon d’Or, na kushinda UCL kwenye uwanja wa Real Madrid. Kisha akaenda kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha Madrid, akaweka taji mbele ya kabati lake na akaandika akisema ‘‘Nimetimiza ahadi yangu. Ni muhimu kuwa na kiburi hata unapodhaniwa vibaya, aminia uwezo wako.’’
Like na uni follow kwa makala zaidi.
🇨🇭 Johan Manzambi vs Bosnia na Herzegovina.
⏱️ 19 minutes
⚽ 2 Goals
🎯 69% passing rate.
👣 29 Touches
📌 4 final third passing
Clinical, decisive, and impossible to ignore. A deserved MVP performance. ⭐️🔥
#WorldCup2026#Switzerland#Manzambi
In Europe’s top 5 leagues in 2025/26, Luka Vušković ranked top for under 21 players in…
◉ Clearances Completed (251)
◉ Headed Clearances (153)
◉ Aerial Duels won (1)
…And was second for interceptions (40).
He also ended the Bundesliga season with most duels contested in a single game with a 100% success rate (12/12 vs Wolfsburg)
Oh, and he was Hamburger’s second top goalscorer… AS A DEFENDER. 🤯
Turns out seagulls steal more than your chips… 🪿🍟
Viwanja vya Mtekelezo, Dodoma Mjini.
CHADEMA tumekusanya TONE TONE TZS 3,209,200. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. CHADEMA ni mali ya UMMA na itaendeshwa na WANANCHI. Angusha TONE lako kuwezesha mikutano mingine kupitia 0744 446 969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplePower. 👊🏾
Mourinho anafosi dili la kirudi Madrid na kama atarejea basi natamani sana Pep arudi tukamalizie hii derby pale ilipoishia.
Haikuwa rahisi na haitokuwa rahisi😁😁
The basics of football not being done.
👉🏼Tracking runners
👉🏼Staying switched on
👉🏼Competing physically
@ChelseaFC player they should know this is borderline unforgivable. At this level, you can’t switch off for even a second.
@pedrolneto7 wake up bro. 😎
Really, with all that quality, they couldn’t even score a single goal?
🚮Lack of unity and leadership
🚮Selfishness and ego
🚮No desire, no sense of shame
Yet, at the end of the week, you still walk into collect a salary you didn’t deserve.
@ChelseaFC
What rules do they teach players at Madrid?
They need to respect the opponent and accept the consequences of their ego. They create plenty of chances, but the selfishness of Mbappé and Vini costs them.
The old Galácticos had real leaders players who took responsibility.
Why do Barcelona and Real Madrid blame referees when the cards are correct? Atlético don’t do it as much.
Camavinga was booked for delaying the restart after a foul while under pressure.
Lack of discipline and leadership.🚮🚮🚮
Luis Enrique aliweza kufanya comeback dhidi ya PSG si kwa maneno mengi bali aliiandaa timu kiakili na kimwili na sii hawa wakina Lamine wanaongea kupitiliza.
Go and get some rest kid. Stay calm and watch how the elders handle pressure.
Soko la mawinga limejaa majina yaliyopandishwa bei kupita kiasi. Badala ya kulipa bei kubwa Bradley Barcola au Ousmane Diomande, ningeenda kujaribu kwa NESTORY IRANKUNDA.
Ana kasi, attacking direct, ana nguvu ya kupiga shuti, hana woga…kijana anacheza kama hana breki kabisa.
🤬 After the final whistle today, Arsenal fans were 𝗙𝗨𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 with the Bournemouth analysts, after they celebrated their team's winner in the press box.
The members of staff were told to remain in their seats after full-time for their safety.