@mangekimambi@StateDept@realDonaldTrump Watanzania mtakao kuja kuona hii video ya dada, baada ya kuona kesho jiandae popote ulipo hasa dar, Arusha, mbeya, mwanza, dodoma, kesho tunaanza upyaaaaaaaa, kesho tunarudi road xmax inatukuta road, no turning back🔥🔥📍
@mangekimambi Hakika, mdogo mdogo ndio mwendo, ikipendeza kesho tena bila kuchoka, kesho hakuna lockdown, so we'll take that opportunity kufanya aman yetu, mind you kwamba watu muwe wa kutosha usiwe mmoja mmoja, hakika tutafika, kesho tupo LIVE, hakuna cha xmax hapa, xmax inatukuta tupo road
@KisheliJ44359@mangekimambi Hapana kaka haitakiwi apate nafasi kama hv, yani hapa kesho moto unaendelea, hawawezi kufunga barabara kesho, koo huo upenyo ndio tunautumia deal done
@Sativa255 wanasema watu mjiajiri, hakuna ajira, vijana tunaamua kufanya online business tutapata chchte, tutafungua fram hapo mjini tuanze kulipa kodi, sasa hii inchi inafilisi hadi mtu wa chini, na hapo ooh dira 2050 kila mtanzania atakua na uwezo wa 18m kwa mwaka huu upuuzi sana