@safarimlevi Iyo iyo bible alioquote wanawake walishaambiwa βtamaa itakua kwa mume wako nae atakutawalaβ apa ni baada yakuona hawa viumbe kubana miguu ni ngumu sana
@kasesco_tz Kama lets say ulivyosoma EGM kuna degree prog nying ulikua unaweza kusoma kulingana na scope ya EGM, so the same tu masters itategemea na scope ya degree ulioisoma na requirements za iyo masters unayoitaka
@Mwinshehe07 Kuna mwalimu mmoja alikua anaitwa kiringo advance alikua na confidence kinyama ila alikua yuko shalo kikuma yan hajui kabisa yan kichwan hamna kitu ndo huyu jamaa sasa, haiwezekan useme taarifa za NIDA za mtu co confidential.