Katika maandiko na mafunzo ya dini, chanzo cha mbadiliko ni mtu mwenyewe, tiba ya dhambi ni mtu mwenyewe, pepo itatokana na matendo na tabia za mtu mwenyewe. falsafa ya hali ya Juu ya uwajibikaji, hakuna wakukusemea kwamba dhambi zako zimesababishwa na flani bali ni ww mwenyewe