@Sirjeff_D Ila mtu ukiona unfollowers wengi na watu wanakusikiliza unajiamini kuwa unajua Kila kitu kama Raisi wa nchi fulani alafu unaona tunaokufuatilia kama wajinga bro tunaakili kukuzidi sana alafu huwezi kuja na hoja ambazo hazina utafiti wa kina kwanini kilitokea na kwasababu gani
@SuluhuSamia Uku kilio chetu ni kuomba Barbara ya malori na gari za kawaida zitenganishwe kipindi Cha Dr Makufuli alianza kuzitengeneza ili kuepusha ajali na Bado haijakamilishwa tunaomba ikiwezekana ikamilishwe kuepuka adha za ajali Kila siku pale iwambi Mheshimiwa