🚨🔴⚪️ The agreement between Viktor Gyökeres and Arsenal on personal terms is valid until June 2030, five years.
Viktor has been clear with Sporting as reported: only Arsenal, as soon as possible.
Club to club talks advancing, underway to get it done. ⏳🇸🇪
@WateteziTV Licha ya kuwa wanasema common is not common ila kuna vitu ukiviangalia kwa jicho la layperson havi-make sense, hata mahakama kuu kukubaliana na hivyo vifungu sijui walifikiria nini
@Mojafaster1995i@KennedyMmari@MaxTz255_ Hata bila PIN, kuna baadi ya POS machine unaweza kuchanja up to 70k bila kuweka PIN. So muhimu ni bank kunotify kila transaction inayofanyika
@KennedyMmari@MaxTz255_ Na bank kuacha ulinzi wa taarifa iwe kwa mteja kwa 100% sio sawa katika ulimwengu wa sasa wa hackers etc. Mfano mtu akiokota kadi yako anaweza kununua bidhaa kupitia baadhi ya POS kama malipo hayafiki 70k so km huna taarifa si anaweza kumaliza pesa kwa acc?
@KennedyMmari@MaxTz255_ Mimi ilinitokea, msg ziliacha kuingia, sikuopt kufanya hivyo, nilifuatilia matawi ma3 ya bank na kujazishwa forms, haiku work, nilienda HQ wakaniambia niende nilikofungulia account, about 1000km. By default, ilibidi msg ziwe zinatoka, client ndi a opt otherwise.
@MaxTz255_ Hiyo ni moja ya sababu iliyopelekea kuachana na bank ya CRDB, mtu unafuatilia kitu kidogo kama hicho cha sms mpaka HQ, then unaambiwa urudi ulikofungulia ac yako hata kama ni km 1000.
@KennedyMmari@MaxTz255_ Sema na wewe Kenny saa zingine sijui unafikri vipi? Tuseme hoja huyo dada hujaielewa? Muamala wa kwanza ulipofanyika kama angepata msg si angejua kuwa kadi yake inatumika. How much does it cost kwa CRDB kuwezesha sms?
@IAMartin_ Hii ni move nzuri sana Kenya na Uganda wameifanya. Ikizingatiwa hawa ni critics wa governments zao, not sure kama Bongo tungeweza kufanya hivi. Licha tofauti za kimtazamo, wote ni binadamu