Tunawatakia utekelezaji mwema wa majukumu yenu la leo.
Tupa wazi kuanzia saa moja asubuhi.
Karibu upate Breakfast, lunch na Dinner.
Tupo Golden Jubilee towers
Live scenes toka @MgahawaCafe Golden Jubilee Towers, Ohio. Karibuni mno, breakfast yako ina-determine kwa kiasi kikubwa productivity yako. Have a great day.
Morning fam!
Tuko wazi, unaweza kufika kwa huduma ya breakfast, lunch au dinner, tunapatikana Coronation House 🏠, Samora Avenue.
Tupigie 0738572344
📸: @iBliz140