@tanescoyetutz Mheshimiwa Biteko. Tembelea Wilaya ya Kigamboni huku umeme baadhi ya maeneo hasa Kisota kuna mgao wa masaa 15 kwa siku. Na kuna wateja hawana umeme zaidi ya siku 4 kwa week. Wengine line zao hung"olewa kwa maksudi ili wapewe rushwa kurudisha umeme. Customer service is the worst
@tanescoyetutz Eid ndio siku za ulaji kwenu. Mnang'oa line za baadhi ya wateja ili muitwe na kupewa rushwa kurudisha umeme. Ni aibu kubwa sana . Mnashindwa kujiendesha kibiashara. Au kwa sababu mshahara na posho zipo palepale? Aibu kubwa sana. Hivi karme hii mnamkatia mteja umeme masaa 14?
@tanescoyetutz Fuatilia Wilaya ya Kigamboni kuna baadhi ya maeneo hasa Kisota umeme hukatwa kila siku zaidi ya masaa 14 kwa baadhi ya wateja. Ila wangine umeme upo masaa yote. Halafu mnatangaza hasara. Hujuma kwa nchi, shirika na wateja. Kiujumla mmeshindwa kazi
@tanescoyetutz Umefika wakati hili shirika libinafshishwe maana mmeshindwa kazi. Mpaka leo kuna maeneo mgao ni zaidi ya masaa 14 kwa siku. Kipindi cha sikukuu mmekuwa mkiondoa line za umeme kwa baadhi ya wateja ili mlipwe pesa kurudisha umeme. Customer service is the worst. Hujuma kwa nchi.
Tanesco ni shirika linaloongoza kukera watu kwa mgao wa umeme. Hivi sasa kuna maeneo Wilaya ya Kigamboni kuna mgao kila siku kati ya masaa 7 hadi 14 kwa siku. Lkn kuna watu umeme kwao haukatwi. Fikeni Kisota mjionee. Line za umeme zimekuwa zikiondolewa kwa baadhi ya wateja.
@Tanesco_ Baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu wamekuwa wakiondoa line za umeme kwa baadhi ya wateja ili kulazimisha malipo ya rushwa ili waunganishiwe umeme. Hasa baadhi ya maeneo ya Kisota na Kibada Kigamboni. Huu ni uhujumu uchumi kwa nchi, shirika na wateja.
@Tanesco_ hivi kwa nini Tanesco limekuwa ndio shirika linaloongoza kukera Watanzania? Hivi sasa kuna maeneo hasa wilaya ya Kigamboni, Tanesco wanaongoza kwa ubaguzi na rushwa kukata umeme kwa baadhi ya line kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku ilhali kuna sehemu umeme upo muda wote.
@JonMrema Wajinga wa Afrika ni km wale wa Libya, walikataa amani na maisha mema wakati wa Gaddafi sasa wanajuta. Na hao waliotumiwa sasa wanauwana wenyewe kwa wenyewe na mafuta na dhahabu yao inaibiwa bure kila siku.
@JonMrema Hawa wameshapewa pesa kuharibu nchi yetu km wale waliomuondoa Gaddafi na sasa raia wanajuta. Nchi mpaka leo ipo kwenye vita, nitaunga mkono iwapo wao na familia zao watakuwa mstari wa mbele. Hizo pesa za wazayuni zitawatokea puani. Hatuandamani ng'o
@Jambotv_ Ondoeni watu waliojenga kwenye mto. Sheria zipo wazi hakuna mtu au serikali au taasisi inaruhusiwa kujenga ktk mto. Lkn serikali ndio imekuwa ya kwanza kufanya makosa kuruhusu ujenzi ndani ya mto
@JosephMutakubwa@Chahali Elimu yetu ni ya kukeremua sio ya kumkomboa mwafrika. Kuna wajinga waliopewa madaraka wakaendelea kutupoteza na kuzalisha hawa vilaza wala rushwa wa yes yes no no. Wengi hufanya kazi wasiosomea maana hawana wanachokijua. Degree zetu asilimia kubwa ni feki.
@TanzaniaLeaks Chama sio kinachodhulumu ila watu na utashi wao. Kuwa madarakani sio sababu. Ukiangalia dhulma wakubwa wengi sio CCM. Chama kipo kuhakikisha dhulma inaondoka , tatizo lipo kwenye sheria zetu zenye kuruhusu dhulma.
@SimbaSCTanzania@moodewji Hakika hii ni sahihi lkn kuna kundi lililohamia toka kwenye bongo flava na kuhamia kwenye mpira, hawa wanajulikana km Yanga GSM na Simba Mo, wataandika upuuzi na kupinga hili. Wewe subiri utawaona washabiki wa bongo flava