Waziri wa Fedha Dokta Mwigulu Nchemba na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwana Emmanuel Tutuba wakisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini baada ya kuhitimishwa kwa tukio la uzinduzi wa mpango wa tatu wa taifa wa huduma jumuishi za fedha wa mwaka 2023 -2028.
Tukio hilo la uzinduzi lililofanywa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta Philip Mpango katika ukumbi wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
#KigogoMediaUpdates
Jumamosi hiiiiii 1/6/2019 ni siku ya kumshuhudia bingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2019.
Sasa Haineken Premium Lager inakuhakikishia Quality Experience ya kuitazama Final hii live HD kama uko uwanjani vile, ukiwa naโฆ https://t.co/6v0LShq6Th