Zanziibar
Zanzibar
Beautiful island, the eastern side of Africa
Sounds of the cold high cloud calling from a distance Tanzania
You can hear the marimba band playing sweet melodies across the land
Sweet, sweet melodies
Zanzibar - Song by Sipho Mabuse β§ 1991
Kikosi cha @YoungAfricansSC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby
HAKUNA KIPENGELE .. ππΌπ°ποΈ
Tunatambua upambanaji wenu ndani ya uwanja dakika zote 90.Mmetoka kucheza match ngumu tatu za kukamiwa kweli ndani ya siku 10 viwanja tofauti.Wachezaji na Bench msivunjike moyo. Haya matokeo ni kati ya mchezo bado sisi tunawahesabu nyinyi Mabingwa. @YoungAfricansSC#YangaBingwa
@msangijeff @YoungAfricansSC Brother Jeff⦠tuwapongeze wachezaji kwa uchache wao wamejitahidi sana. Ingekuwa wale wengine ile kadi nyekundu zingeingia za kutosha pale⦠#YangaBingwa
WAFAHAMU WATU WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI.π³π
1. TERRENCE TAO.
Ni mwanahisabati kutoka Marekani ambaye anakadiriwa kuwa na IQ level ya 230. alifanya hisabati akiwa na miaka 2 na alipokuwa na miaka 7 alifanya hesabu ngumu za level ya Chuo Kikuu akiwa na miaka 20 alipata PhD.