Israel Mbonyi gave-us this chorus😊
Jer 29:11🙏🏼
Ninayajua yangu malengo🎧
Ni mema sio mabaya🎶🎸
Ili niwape matumaini🎸🎹
Ya siku zijazo nawapenda🎶🎹
Wambieni wenye huzuni🎸🎹
Tulizeni wenye majeraha🎶🎹
Wambieni waje waone🎸🎹
Tuna MUNGU mwingi wa Upendo🎸🎶
Maisha ya dunia hii ukisubiri ukiwa unajisikia vizuri ndio usome biblia na kutafakari, unaweza kurudi kusoma biblia baada ya miaka mingi ijayo. Safari ya usomaji wa biblia inahitaji nidhamu, uwe unajisikia, au uwe hujisikii, unapaswa kutembea na mtiririko wako ule ule.
Mathayo 12:29
Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo atakapoiteka nyumba yake.