Unatoka kanisani umeandaliwa chai ya maziwa na chapati za mayai na tikiti limekatwa vipande . Kitanda kimetandikwa vizuri. Nyumba inanukia vizuri. Unawekewa channel ya tv uipendayo. Huku anaenda jikoni kuaandaa lunch akiwa amejifung kanga tu
Ndoa ni nzuri sana na ni baraka
ุนูุฏู ุง ูุง ุชุฌุฏ ูุตูู ุงูุขุฎุฑุ ุงุญุฐุฑ ู ู ูุจูู ุฃู ูุตู ูู ูุก ุงููุฑุงุบ.
"Unaposhindwa kuipata nusu yako nyingine, kuwa makini usikubali nusu yoyote ile ili kujaza pengo."
โ๏ธ Ni bora kuendelea kumsubiri anayekufaa kuliko kufanya uamuzi wa haraka kwa sababu ya upweke.
Nilimuomba Mungu anipe maisha marefu lakini akanipa jina lako
Nikamuomba tena Amani na furaha lakini akanikutanisha na wewe ๐ฅฐโฅ๏ธ
Nikamuomba Tena anipatie Afya njema akanipa upendo wako
Mshikaji wangu wa Maisha ๐ซถ๐ซI LOVE YOU โฅ๏ธ
Kurudiana na mtu aliekuumiza na aliekuona huna maana ni kujivunjia heshima kwa kiwango kikubwa sana. Yaani maana yeke hujithamini wewe mwenyewe.
#usimrudieex
Methali 11:2
Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu.๐๐ฝ
Kuna zile scenarios za mapigo Kumi ya farao kuna somo kubwa Sana pale
MUNGU alikuwa na uwezo wa kumuua kwa pigo moja tu alipewa kiburi zaidi ili MUNGU AONYESHE UKUU ZAIDI