π¨HERE WE GO π¨
Leo nimesaini kandarasi mpya ya kuendelea kukaa nyumbani kwa miaka mingine miwili.. Document zote zimesainiwa na pande zote mbili.ππΌππΌππΌππΌ
Basi unaambiwa Samson kuna siku alienda mji wa maadui huko kulikuwa na malaya mzurii sana akaenda kupiga miti, basi walimuona wakasema huyu wacha ale mzigo atachoka nguvu zitapungua asubuhi alfajiri tunaenda na jeshi tunamkamata, si kajileta mwenyewe kisa pussy.
Huu ni msimu wa mafua na kikohozi.
Jifunze maajabu ya kitunguu maji na saumu.
Usiwape watoto wako syrup na madawa makali.
Mtoto akiugua mafua au kokohozi,
Nunua kitinguu.
Wakati wa kulala,
Kikate kitunguu kwa mlinganyo sawa,
Kutoka pembe moja kwenda pembe nyingine.
Muwekee mtoto kwenye unyayo kwa kupitia soksi aliyovaa. Pande zote mbili.
Akiamka asubuhi mtolee.
Mafua kikohozi hakuna tena.
Utakuja kunipa majibu.
#jeshilam2m1