@Sangio_Ngoo@HildaNewton21 Inategemea simu hata ya mbu inafanya kazi kwa mda fulani hivyo kama utaingia kwenye chumba mda huo uliokusudiwa huwezi kuzurika
Mitaa inaelewa, huyu Bro hata simjui alikuwa ameingia kwenye Daladala niliyopanda imebidi niombe nimpige picha binafsi nime feel respect sana kuona chata kubwa.🫡