@mangekimambi Funny stuffs, imagine nchi yenye maziwa makuu matatu, bahari na mito and we are just folded with this stupidity, whats the actual focus kwenye hii nchi wallahi π€
Kwamba mtu kama. Huyu anatekwa kwa kutoa Elimu kama hii kwa Watanzania wenzake⦠Alafu waizi na majambazi wanawalipa 2,000 walizowaibia wanawabeba kwenye malori kwenda kuwashangilia!!! Mko sawa?
Mnataka Taifa la aina gani? La watu wasio na akili kabisa!