Ninawashukuru rafiki zangu ambao mmetukimbilia katika msiba huu. Mlifanya jitihada za kufika nyumbani Kiluvya Dar na wengine kijijini Machame. Tena mlifika bila kuwasiliana nami kwa kuwa sikuwa online. @YourFrenchFry@ScholaDecaprado@DorothNengai na my brother @fredkavishe
Nawashukuru pia baadhi waliotuma rambirambi, Mungu awabarikini sana.
Pia wote mlionitext hapa kunipa pole...Nafarijika sana kwa maombi yenu.. Mungu awatunze.
Wote ambao mlishaondokewa na Baba zenu, poleni sana. I now know what it feels like.
Kifo ni kibaya sana. Kina uchungu mwingi. The layers we have to unpack as we mourn our father are unbearable π£
Kuna watu jana wameingia home usiku, wameingia store wamebeba walichoweza, ila wameninyima amani, unaingia nyumbani kwa mwanaume mwenzio kumuibia?
Hawa lazima tutafutane tuheshimiane.
Watu wa Mungu, naomba mniunge mkono siku ya leo ππΌ
Mithali 21:5
βMawazo ya mwenye bidii huleta faida; bali kila aharakishaye mambo huishia katika upungufu.β