#AlhamisiKumbukizi
Mfamasia Heinrich Nestle aligundua na kutengeneza mbadala wa maziwa ya mama , kwa kuchanganya maziwa ya ng'ombe, unga wa ngano na sukari!
-
Mchanganyiko huu ulisadia watoto wengi waliozaliwa kabla ya muda mwishoni mwa miaka ya 1800!
#famasijamii