@millardayo Vitu maalum wanalipwa posho za bure majimboni hatuwaoni na wanatembelea magari ya bure kwanini msianze na hao ndo mje huku kwingine afrika ni nchi 15 tu ndo zina tumia mfumo huu wa viti maalum suggestions yangu tuvunje mpango wa viti maalum kwajili ya kupunguza gharamaπ‘π‘π‘
@Sincerelyrahma7 2019 nilikua natoka dar Kwenda mwanza nikakaa siti mmoja na Manzi mmoja ya kiwaki picha linaanza eti katoa novel kusoma akajifanya anapenda kusoma mamae baada ya nusu saa amelala Kila akishika kusoma analala nikaona huyu ni boya nika mute mpaka mwanza ππππ
@msritha_ Upate hii pisi wakati nchi ikiwa imeingia kwenye machafuko yaani tumejifungia tu magetoni yaani haiwezi kutoka kazi yangu ni kuila tu mwanzo mwisho