@fumbokhanJr Mudi ni Tapeli na genge lake hapo Simba.....Pesa za Mo ni usanii.
Elezea huo Uwekezaji wa Bi 20 aliiweka wapi na imetumikaje!?
Mo mwenyewe kutwa kulia kupata hasara....
Simba ijipange upya ktk namna ya Uwekezaji ktk football β½β½β½
@officielsalome Hakuna kurudi shule, wakalee watoto wao,,, Tunahitaji na kusisitiza maadili meme mashuleni..
Labda muwajengee shule zao maalumu ndio muwapeleke huko.
@Hamadbakari2@esteramosbulaya@YouTube Mashiko ya nyiokoooo!!! eti waaminifu kwa Taifa!!!
Bunge lenyewe haramu, Mbunge haramu na Madawa ya kulevya ni haramu, so ni sawa na huo Uzalendo haramu..
akwende akasagane na haramu mwenzake na uharamu wao.
Beki wa Kaizer Chiefs, Luke Fleurs amepigwa risasi na kufariki usiku huu katika tukio la unyang'anyi.
Yanga wawe makini huko, wasizurure zurure! Watu wametumwa hesabu, hawacheki na kima!
@IAMartin_@Kiganyi_ Wajinga kweli, kula kwao usiku wakati wenzao wamelala ndio kunafanya waone Wivu wenzao kula mchana....
Sijui kama wanaelewa hata maana ya funga, Zenji imejaa ujinga tu