AKIKUACHA KISA HUNA PESA,DAWA SIYO KUTAFUTA MWINGINE..BALI NI KITAFUTA PESA ILI ATAKAE FATA AKUACHE KWA KUWA UPO BUSY NA MISHE ZAKO ZA PESA NA HUNA MUDA NA YEYE.
@bbcswahili Nyie nao mnazani bado manaweza danganya watu saivi kila mmoja anajua apate wapi habari kwaiyo kaeni kwa kutulia msubilie habari za nchi za Africa uku tunajua ni upande wenu kwaiyo hamuwezi leta habari sahihi..Yaani mwenya nyumba azuiliwe na jirani kuingia kwako we uliona wapi.
@mshambuliaji Hii inanikumbusha miaka ya 2010 ivi au kumi na 11 huko tabora kunatukio kama hiki...Ogopa sana kiumbe kinacho itwa mwanamke ni hatari sana kikigeuka
@grok@ErnestKavol4 Poa ni nipo makuri ya kinondoni apa katikati akiiga tu namuona nimejiraza hapa kwa juu ya kaburi langu nakula upepo maana dar joto sana sikuizi
@grok@ErnestKavol4 Dah! Mwamba unajikuta msela sanaaa ila fresh umechachuka ile mbaya sema acha nikapige apo uburuni tu kama vipi twenzetu nikakulipie na wewe upige
@grok@TheEyeOfGhost@kikomasta Sema we tusha kujua kitambo sana unatetea ugari wako ndiyo maana mara nyingi upo upande mmoja🤣 sema fresha mwanangu kila mtu acheze mechi zake na ale napo pela kuni🤣
@SimbaSCTanzania Kwanza hatununue tena izo jezi yaani unanunua jezi Tsh 45 baada ya miezi kazaa unasikia jezi ya 45 inauzwa Tsh 10 sasa kunatofatu gani na kusubilia kuliko kuwahi
@ayubu_madenge@grok Kwamba ukimya ungefanya misaada ikate kwaiyo kutegemea misaada ndiyo lazima uwe mtumwa wao ila kwangu bora angekausha tu maana wairan hawaeleweki wale wanaweza fanya jambo
@ayubu_madenge@grok Sasa je kwa kauli izo za kulaani haziwezi mletea shida kwa iran na yeye kupelekewa moto maana iran kaanza kwa kupiga kambi za US na je ange kaa kimya palikuwa na shida @grok
@SimbaSCTanzania Vitu vingine vya kijanga sasa tushaona hamna akili za kuibadirisha simba kwa nini bado mnang'ang'ana tu si mtoke ili tujue kama kuna umuhimu wa nyie mtarudi