Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Wakili Msomi Makundi alipigwa risasi akafariki hapohapo baada ya kulipwa na kufundishwa kuandamana. Unasikia Mzee Kiande, Mungu yupo. Anaona. Anasikia. Na atajibu kwa wakati wake.
Huyu aliyebeba bendera yetu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akauwawa akiwa anadai uadilifu wa bendera yetu. Mdogo wake pia aliuwawa.
Samia atalipia haya mauwaji ya halaiki. Sisi hatuko bound na blah blah za Chande aka Kiande.
RIP Daniel aka Lissu wa Kitaa!!
Watanzania wenzangu tusisahau nafsi za vijana wenzetu waliopoteza uhai wao katika maandamano ya okt29.
Rest in peace comrades we gonna fight for you.🇹🇿🕊
Nimepata haya mawazo kwa dk kadhaa tu
“Saa sita+ usiku accounts za Ikulu Mawasiliano zitakuwa live watu wanatangaza kuachia ngazi hukooo”
🫵🏽🫵🏽😎😎just thinking with full of exciting 😋
Watu Walioshinda Uchaguzi Kwa Asilimia 97 Wanaogopaje Maandamano?
Si Watanzania Milioni 30 Waliwachagua Nyie? Sasa Hofu Ya Nini?
Yaani Kuua Kote, Kuteka Watu Hivi, Mikwara Yote Hii, Press Zote Hizo, Ni Asilimia 2 Tu Ya Watanzania Mnaiogopa Hivi?
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!
Nasikia mama yenu anatoa matokeo (findings) za tume yake!!!
Hakuna Tume hapo!!, Busara ilikuwa ni kutokubali kuwa wajumbe wa Tume sio kung’ang’ania!!
Hawa wasipewe fursa ya kufunika kombe, mwaharamu apite!! Mwanaharamu asipite wakuu na kombe lisifunikwe!!!
#hatutokimsibani