‼️🚨HUYU NDO AWADHI JUMA HAJI AMBAE ALITOA ORDER YA ‘SHOOT TO KILL’ OKTOBA 29.‼️
Kwa msiomfahamu Awadhi Juma Haji yeye ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania, yani Operesheni zote ambazo zinafanywa na Jeshi ya Polisi huyu ndo incharge Mkuu bila yeye kuidhinisha hakuna Operation inafanyika, huyu ndo Idd Amin Mama anamuandaa kuwa IGP baada ya Wambura.
Kama mtakumbuka kabla ya Oktoba 29, niliwahi kupost kuhusu uwepo wa Wanajeshi 500 wa Uganda ambao Idd Amin Mama aliwakodi kwa Mseven ili waje kutuuwa Oktoba 29, nikaweka na list ya majina feki ambayo walipewa, vyeo feki pamoja na Mikoa/Miji ambayo walipangiwa kwenda kuuwa Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025.
Sasa huyu Awadhi ndo ambae alikuwa anaratibu safari ya hao Wanajeshi wa Uganda tangu Wanatoka Uganda, wanapita border ya Mutukula huko Kagera mpaka wanafika Dar es salaam, yeye ndo aliwapangia hao Wanajeshi wa Uganda maeneo ya kwenda na walienda huko kabla ya Oktoba 29 so Watanganyika ambao mlikutana na Wauaji ambao walikuwa hawajui kiswahili ndo hao Waganda na aliyewapangia waje huko kwenu ni huyu Awadhi Juma.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi Oktoba 29, baada ya Maandamano kushika kasi kila kona ya Nchi, Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama ilizima mtandao, ikakata umeme sehemu kubwa ya Tanzania then IGP Wambura akatangaza hali ya hatari na kusema kwamba kufikia saa 12 jioni watu wote wawe majumbani kwao kwasababu kuanzia muda huo Jeshi la Polisi na Vyombo vya Ulinzi na Usalama watakuwa barabarani kwa ‘KAZI MAALUM’
Kabla IGP Wambura hajatoa Tangazo lake tayari yeye na Awadhi Juma, Idd Amin Mama alikuwa keshawapa maelekezo ya kuuwa watu na Awadhi alikuwa ameshaweka standby vikosi vyote ambavyo walikuwa wameviandaa kwa ajili ya kuuwa Watu Oktoba 29.
Baada ya IGP Wambura kutoa hilo Tangazo lake haram, Awadhi Juma ndo akatoa order ya SHOOT TO KILL ambapo aliambia vikosi vyao vyote kwamba, kuanzia saa 12 jioni mtu yeyote ambae watamkuta barabani wapigeni risasi, ndipo vikosi vyao viliingia barabarani na kuanza kuuwa kwa risasi kila mtu ambae walimkuta barabarani bila kujali ni nan au anafanya nini, walipomaliza kuuwa watu barabarani wakaingia mpaka kwenye majumba ya watu na kuanza kuwafyatulia risasi.
Kuna Askari wanasema kwamba siku ya Oktoba 29, baada ya kufanya Operation ya kuuwa Watanganyika wenzetu, kuna baadhi ya Polisi waliogopa kuuwa so muda ulivofika wakurudi kwenye “MAKUTANO YAO” kwa ajili ya kujipanga na mashambulizi ya siku ya pili yani Oktoba 30, Awadhi na wasaidizi wake walikuwa wanakagua silaha, Askari ambao ilionekana wametumia risasi chache walipewa adhabu na ambao hawakutumia risasi hata moja wao waliwekwa lockup, walikuja kuachiwa baada ya Nduli Idd Amin Mama kujiapisha
Awadhi na vikosi alivokuwa anaviongoza, walifanya operation ya kuuwa Watanganyika kwa siku tano mfululizo, waliuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, waliuwa asubuhi, waliuwa mchana, waliuwa usiku bila huruma, walifanya yote hayo kumlinda Nduli Idd Amin Mama ili aendelee kubaki madarakan bila kupigiwa kura na Wananchi.
Ile siku ya Oktoba 29, baada ya vikosi vyao kuuwa Watanganyika wenzetu, walipoona miili ya ndugu zetu imefurika kwenye Hospital zote, waliagiza wahudumu wa afya waliokuwepo zamu siku hiyo wasitoke kazini mpaka siku watakapomaliza operesheni yao na baada ya tangazo hilo kuna wahudumu wa afya walipokonywa simu zao lengo lilikuwa ni kudhibiti taarifa kuhusu majeruhi na idadi ya waliouwawa.
Baada ya miili kufurika kwenye Hospitals mpaka mingine wakakosa pakuiweka, usiku magari ya JWTZ yalikuwa yanapita kwenye Hospital za Serikali na kusomba miili ya ndugu zetu, waliiba maelfu ya miili ya Watanganyika na miili mingi ambayo walikuwa wanaiiba ni ile ambayo waliipiga risasi kichwani na tumboni kisha wakaenda kuizika kwenye Makaburi ya Halaiki kama mizoga.
Machi 2026, Awadhi Juma alifanya ziara ya kutembelea Mikoa yote ya Tanganyika na kuwapongeza maRPC kwa kazi waliyofanya Oktoba 29, yani aliwapongeza kwa kuuwa kwa risasi Watanganyika zaid ya elfu 10.
🚨 Manchester United are interested in Sporting CP defender Ousmane Diomande ahead of the summer transfer window.
The 21-year-old recently signed a new contract until 2030 and has an €80M release clause in his deal, with Sporting determined to keep him for at least another season.
No formal offer has been made so far, although interest in Diomande is expected to increase as the transfer window progresses.
(Source: @abolapt)
This is my friend, Joseph Mwasote, also known as China.
China was abducted by police and security officers a few days before October 29, 2025.
After he was taken, he was stripped of his clothes and brutally tortured. We had no idea where he was. We searched for him everywhere. His son went from one police station to another looking for him, but found no answers.
China eventually resurfaced after last year’s election, physically and emotionally devastated by the torture he had endured. When he finally returned home, he learned the unthinkable: while he was being held in an undisclosed location, his son had been killed by the police.
There are many stories like this.
samia suluhu hassan and those responsible for these abuses have inflicted immense suffering on innocent people.
Tanzanians, we must not allow these atrocities to be forgotten or ignored. samia and those responsible must be held accountable. And they will be.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Katiba Bora inaweza kusaidia kulinda muungano kwa njia ya maelewano ya kikatiba badala ya makubaliano ya kisiasa tu #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/GM3NFWzB22
Mahakama popote duniani inapokubali ku-compromise, ni suala la muda tu kabla ya taifa kulipa gharama kubwa zaidi. Hata kama si leo, historia huja kutoa hukumu yake.
🚨 Mateus Fernandes has made Manchester United his 𝗣𝗥𝗘𝗙𝗘𝗥𝗥𝗘𝗗 𝗗𝗘𝗦𝗧𝗜𝗡𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 despite attracting interest from several top European clubs.
West Ham United currently value the midfielder at around £80M-£85M, although Manchester United are pushing to negotiate a fee closer to £50M-£60M.
The 21-year-old remains one of United’s leading midfield targets as Michael Carrick looks to strengthen the engine room this summer.
(Source: @shaunconnolly85)
Nimeona jana MATALA kapasua BUYOBE na BUYOBE kaja na screenshot za DM za MATALA kipindi anaomba msaada wa matibabu.
Mimi miaka yangu yote hapa X nimeishi nikisaidiwa na washakaji na kusaidia washkaji wengi sana. Misaada niliyopewa kwangu haiwezi kuwa GEREZA LA MAWAZO yangu.
Siku ukileta UPUMBAVU hata kama ulinisaidia milioni KUMI we jua tuu umeyakanyaga na nitakupasua.
Eti kwasababu unasaidia watu DM ndio usigusike kwamba wewe nani? Hizo DM za kuombwa msaada hutumiwi pekeako. Wewe kama unayo nia ya kusaidia usigeuze misaada yako kuwa GEREZA la kufunga watu.
Huo ndio UKOLONI tunaopambana nao. Hata mm kama nimewahi kukusaidia na unaona nazingua we pasua tuu, mm hata sikumbuki kama nilikusaidia nasahau pale tunapomalizana DM.
MISAADA YENU MNAYOTUPA SIO MAGEREZA—BUYOBE JIHESHIMU.
Hii ya kwamba nilikusaidia hivyo nikifanya uhuni ukae Kimya mbona hai make sense in fact hiyo ni blackmail ni tabia ya mfumo.
Simama kwenye ukweli sio mtu akuambie unyamaze unapoona anakosea , kwanza kwa alichofanya ni ishara hana lolote baya dhidi yako ana gaslight
Huna haki zote kukosoa mtu aliyekusaidia huki nyuma pale unapoona makosa
Madhara ya Propaganda!
Tatizo kubwa la kuendesha nchi kwa propaganda badala ya uhalisia ni kwamba propaganda inaweza kuchelewesha ukweli, lakini haiwezi kuubadilisha.
Kwa muda, propaganda inaweza kufanya watu waamini kwamba mambo yanaenda vizuri kuliko yalivyo. Lakini mwisho wa siku, wananchi hawaishi kwenye hotuba; wanaishi kwenye uhalisia.
Unaweza kuwaambia watu uchumi unakua kwa asilimia 10, lakini kama hawawezi kumudu chakula, kodi, umeme au ada za shule, wataamini mifuko yao kuliko matangazo ya serikali.
Unaweza kuwaambia watu haki za binadamu zinaheshimiwa, lakini kama wanaona watu wakikamatwa kiholela au kutekwa na kuogopa kutoa maoni yao, watayaamini macho yao kuliko taarifa rasmi.
Unaweza kuwaambia watu rushwa imepungua, lakini kama bado wanatoa rushwa kupata huduma, watayaamini maisha yao kuliko takwimu.
Ndiyo maana serikali zinazotegemea propaganda sana huanza kupoteza uwezo wa kujisahihisha.
Kwa nini?
Kwa sababu propaganda hujenga mazingira ambayo viongozi husikia wanachotaka kusikia badala ya kile wanachopaswa kusikia.
Taarifa mbaya zinafichwa.
Wakosoaji wananyamazishwa.
Takwimu zinapambwa.
Mafanikio yanakuzwa.
Mapungufu yanafichwa.
Matokeo yake ni kwamba serikali huanza kuishi ndani ya picha iliyojichorea yenyewe badala ya nchi halisi.
Hili ndilo lililotokea katika tawala nyingi duniani.
Katika dakika za mwisho za utawala wa Soviet Union, viongozi waliendelea kuambiwa kwamba mfumo ulikuwa imara wakati tayari ulikuwa unaanguka.
Katika Iraq ya Saddam Hussein, viongozi waliogopa kusema ukweli kwa sababu walitaka kusikia habari njema pekee.
Katika Zimbabwe ya Robert Mugabe, propaganda ziliendelea kuhubiri mafanikio wakati uchumi ulikuwa ukianguka.
Tatizo la propaganda si kwamba inadanganya wananchi pekee.
Tatizo kubwa zaidi ni kwamba huanza kuwadanganya hata viongozi wenyewe.
Kiongozi anapoanza kuamini propaganda zake mwenyewe, maamuzi mabaya huongezeka.
Rasilimali huwekezwa mahali pasipo sahihi.
Tahadhari za mapema hupuuzwa.
Migogoro huachwa ikue.
Na matatizo yanapotokea, huwa makubwa zaidi kwa sababu yalifichwa kwa muda mrefu.
Utawala bora unahitaji ukweli.
Propaganda huuliza:
“Wananchi wanapaswa kusikia nini?”
Uongozi bora huuliza:
“Ukweli ni nini?”
Propaganda hutafuta kuonekana mzuri.
Utawala bora hutafuta kufanya vizuri.
Propaganda hujenga picha.
Utawala bora hujenga taasisi.
Propaganda huishi kwa leo.
Mifumo imara hujenga kesho.
Ndiyo maana taifa lolote linalotaka maendeleo ya kudumu lazima lijenge utamaduni wa ukweli, uwazi na uwajibikaji. Kwa sababu ukweli unaweza kuumiza kwa muda, lakini propaganda huumiza taifa kwa muda mrefu zaidi.
Kama alivyoonya Dietrich Bonhoeffer, “Adui mkubwa wa jamii si uovu pekee, bali mazingira ambayo ukweli hauwezi kusemwa.” Taifa linapoanza kuogopa ukweli na kupenda propaganda, linaanza kupoteza uwezo wa kujirekebisha. Na taifa lisiloweza kujirekebisha huanza kujiandaa kwa mgogoro wake wenyewe.
Rev Peter Simon Msigwa.
Iringa
My Bro , Husein Mwinyi.
Ninakuandikia kwa masikitiko makubwa kufuatia kauli zinazoendelea kutolewa na baadhi ya viongozi kutoka Zanzibar ambazo, kwa mtazamo wangu, zinaonesha ubaguzi wa wazi dhidi ya Watanganyika. Kwa muda mrefu nimekuwa na imani kwamba fikra za namna hiyo haziwezi kupata nafasi katika uongozi wako. Ikiwa nimekosea katika tathmini hiyo, basi nitakuwa nimekosea kwa kiasi kikubwa sana.
Kauli hizi si hatari kwa mshikamano wa Muungano pekee, bali pia ni mbegu ya mgawanyiko wa kijamii na kisiasa ambayo inaweza kuzaa matokeo mabaya kwa Taifa letu. Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wako. Katika mazingira ya sasa, ukimya huo unaweza kutafsiriwa kama ridhaa au baraka kutoka mamlaka za juu, jambo ambalo linaweza kueleza kwa nini kauli hizi zinaendelea kutolewa kwa mfululizo, zikiwa na simulizi moja na bila hofu yoyote.
Kwa kweli, naogopa hata kuingia katika mjadala wa nafasi na fursa ambazo Wazanzibari wamewahi kushika au wanazoendelea kushika katika Muungano huu. Kufanya hivyo kungekuwa ni kuushusha mjadala kwenye kiwango ambacho siamini kinafaa kwa Taifa letu. Historia inaonesha wazi kuwa Wazanzibari wamepewa na wameendelea kupata nafasi kubwa za uongozi katika Jamhuri ya Muungano, ikiwemo nafasi ya Rais wa Tanzania. Hivyo, hoja za kuwatenga au kuwadharau Watanganyika hazina msingi wa haki wala busara.
Ninaamini kwamba maneno yana nguvu. Yanajenga, lakini pia yanaweza kubomoa. Kauli za ubaguzi zikipewa nafasi ya kukua bila kukemewa, zitajenga chuki, zitaongeza mgawanyiko, na hatimaye kila upande utajikuta umepoteza. Taifa lolote linaloruhusu ukweli kunyimwa nafasi huku upendeleo na ubaguzi vikipewa sauti, hujenga mazingira ya migogoro ambayo baadaye huwa vigumu kuyarekebisha.
Sioni mustakabali mwema ikiwa mwenendo huu utaendelea. Wakati wa kukemea na kusimama upande wa haki ni sasa. Kesho inaweza kuwa imechelewa.
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mch. Peter Saimon Msigwa amesema serikali inapaswa kuonesha kwamba haitumii ucheleweshaji wa Kimahakama kama njia ya kumuweka kizuizini kwa muda usiojulikana Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, akisema njia pekee ya serikali kujitenga na jambo hilo ni kuondoa mashaka hayo na kuhakikisha shauri la Lissu linaendelea kusikilizwa bila ucheleweshaji usio na sababu za msingi.
Kupitia andiko lake la leo Jumatano Juni 10, 2026, Mch. Msigwa amebainisha kuwa haki si kutoa hukumu sahihi, bali ni kuhakikisha hukumu hiyo inafikiwa kwa wakati unaofaa, akisema ni muhimu Mahakama na Serikali kukumbuka kwamba imani ya wananchi katika mfumo wa haki hujengwa na uwazi, usawa na usikilizwaji wa mashauri kwa wakati.
"Kama ushahidi upo aletwe Mahakamani. Kama haupo sheria ichukue mkondo wake lakini haki haiwezi kujengwa juu ya kuahirishwa kusikoisha." Ameandika Mch. Msigwa.
"Tangu kukamatwa kwa Tundu Lissu tarehe 9 Aprili 2025, zaidi ya mwaka mmoja umepita huku shauri lake likikumbwa na mfululizo wa kuahirishwa. Tangu Machi 6, 2026 hadi Julai 6, 2026 kutakuwa kumepita siku 122 bila shauri kuendelea kusikilizwa. Swali la msingi ambalo Watanzania wengi wanauliza si kama Tundu Lissu ana hatia au hana hatia. Swali ni: kwa nini haki yake ya kusikilizwa kwa wakati inaendelea kucheleweshwa?"
Aidha Msigwa ameendelea kUbainisha kuwa katika mfumo wa utawala wa sheria, Mahakama zipo kulinda haki za wananchi, si kufanya mchakato wa sheria kuwa adhabu yenyewe, akisema ikiwa mtu anatuhumiwa kwa kosa kubwa kama uhaini, basi taifa lina wajibu wa kuhakikisha kesi yake inasikilizwa kwa haraka, kwa uwazi na kwa haki ili ukweli ujulikane.
Watanzania, mambo yanaendelea vizuri. Dunia ipo na sisi. Msiwe na hofu, tutashinda. Bado kuna kishindo kinakuja. Keep on fighting.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu